kozi za kielimu
za bure

Kozi Fupi Ya Hukumu Za Ramadhani | Dorat Ramadan
Kozi Fupi ya hukumu za Swaumu ya Ramadhani:
Baada ya kumaliza kozi, mwanafunzi anaweza kujua ni nani anawajibika kufunga, kufunga ipasavyo na kuepuka kila aina ya mambo yanayoharibu Swaumu kwa aina zote, na kujua ni kwa nani inajuzu kufuturu katika mwezi wa Ramadhani na kwa nini?