Afrika Academy

ni akademia ya kwanaza ya kufundisha Elimu ya Kisheria bure kabisa na kwa kupitia mtandao kwa lugha ya Kiswahili.

Tunazo njia mbili za kujifunzia:

Kozi fupi katika mada muhimu zinazomhusu Muislamu katika dini na utamaduni wake

Stashahada (Diploma) ya mwaka mmoja ambayo inakusanya fani mbalimbali za elimu ya sheria ya Kiislamu

Diploma ya Elimu ya Sheria ya Kiislamu

Mwanafunzi husoma bila malipo na kwa njia ya mtandao kwa muda wa mwaka mmoja, akisoma masomo 12 ya Kiislamu yaliyogawanywa katika mihula miwili ya masomo. Mwisho wa masomo, endapo atafaulu masomo yote, atastahiki cheti kinachotambuliwa rasmi kutoka Africa Academy.

Soma zaidi

Masomo ya stashahada (Diploma)

Aqeedah

Tafsiri

Hadithi

Fiqh

Sirah

Malezi ya Kiislam

Kozi fupi

Hizi ni kozi fupi, za bure na za mtandaoni katika mada za Kiislamu na kiutamaduni zinazowahusu Waislamu wote.
Kozi hizi zinapatikana muda wote wa mwaka, na mwishoni mwa kila kozi kuna mtihani, endapo mwanafunzi akifaulu, hupata cheti cha kozi

Soma zaidi

Takwimu za Alkademia

1

Idadi ya vyeti

1

Idadi ya nchi

1

Washiriki wote

1

Idadi ya wanaume

1

Idadi ya wanawake

Waalimu wa Chuo

Sheikh Ally Nassor

Sheikh Hassan Muhammadyn

Sheikh Shamsi Elmi

Sheikh Muharam Mwaita

Sheikh Salim Qahtwaan

Sheikh Shahid Mohammed

Maoni ya washiriki

5/5
" Njia za kozi zilizofungwa na rahisi kitu kilichorahisisha kufahamu elimu ya kisheria na kutoa motisha kwa vyeti vilivyo mnasibu. Allah awawafiqishe, na awalipe kheri".
mwanafunzi Makkah Nuru
5/5
"Kwa muda mchache nimepata faida kubwa na nimeongezo maarifa mengi ya kuhusu dini "
Mwanafunzi Sada Said
5/5
" Enyi watoto wangu mimi ni mwenye furaha sana sababu kozi hizi zinatuhamasisha na kutusaidia kujifunza elimu na tunatumia dalili kwa elimu kwa wakati munasibu."
Mwanafunzi Neema Abdallah.