Hizi ni kozi fupi, za bure na za mtandaoni katika mada za Kiislamu na kiutamaduni zinazowahusu Waislamu wote.
Kozi hizi zinapatikana muda wote wa mwaka, na mwishoni mwa kila kozi kuna mtihani, endapo mwanafunzi akifaulu, hupata cheti cha kozi.
Kwa hatua rahisi na ukiwa mahali popote, unaweza kujifunza elimu ya Kiislamu kwa urahisi na wepesi:
Unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo
Tengeneza akaunti yako
Chagua njia ya kozi fupi
Chagua kozi inayokufaa
Jisajili na anza safari ya kujifunza
Pata cheti chako mwishoni mwa kozi
Akademia ya kwanza ya kufundisha Elimu ya Kisheria ya Kiislamu bila malipo na kwa njia ya mtandao kwa lugha ya Kiswahili.
Tufuatilie kwenye Runinga ya Afrika TV kupitia masafa yafuatayo:
Ya Kwanza – Nilesat 11554 V – 27500
Ya Pili – Eutelsat 7B 12604 V
Ya Tatu – Eutelsat 16A 10804 – S/R: 30000
© 2025 Swahili | Africa Academy