Tujue
Jukwaa la Afrika la kielimu kimtandao ni lipi?
ukwaa la Afrika la kielimu kimtandao, linalenga kutoa uwezo katika jamii mbalimbali za kiislamu za kiafrika kuufahamu Uislamu kiusahihi, na kupata umahiri wa kiamisha ili kufaulu kupitia kozi za kielimu na vifurushi vya kielimu zilizovuka vikwazo vya muda, sehemu na mishughuliko.
mtazamo
Tunataamni wafaidike zaidi ya watu milioni moja 1,000,000
Uumbe
Kuwa jukwaaa hili ni kiongozi katika kufundisha kwa njia ya mtandao kwa kutumia lugha za kiafrika kwa kutumia njia na nyenzo za kisasa
jukwaa linakusanya
Kwa kutumia njia mbali mbali na kozi na vifurushi vya kielimu katika aina mbali mbali za kimaarifa na mahiri mbalimbali wa kisheria, kimaisha kiidara na visaidizi vyake
Malengo makuu
1-Kuziba mahitaji ya Waislamu wa Kiafirika kwenye misingi ya elimu za kisheria, na yale yasiopasa kwa Muislamu kuto kuyajua.
2-Kumkomaza Muislamu wa kiafrika katika mahiri mbalimbali za kimaisha kwa ajili ya kufaulu
3-Kueneza itikadi na fiqhi sahihi, kwa kutumia dalili za kitabu na suna
4-Kumfundisha Mwanamke wa kiislamu dini yake kumlingania na kumpatia utamaduni wa dini yake.
5-Kueneza utamaduni wa kujifunza kwa njia ya mtandao (electrinic) katika afrika
የ አፍሪካ ለ ትምህርት መድረክ ምንድን ነው

የ አፍሪካ ለ ትምህርት መድረክ አላማው ጊዜን፣ ቦታንና በስራ የመጠመድ መሰናክሎችን በማለፍ የ ትምህርት ኮርሶችን፣ እውቀት ማበልጸጊያ ስልቶችን እንዲሁም የስልጠና ፕሮግራሞችን ለ ሙስሊሙ የ አፍሪካ ማህበረሰብ በማቅረብ ብቁ ማድረግ ነው ።
ራዕይ
ተልእኮ
ግብ
2_ የ አፍሪካውያን ሙስሊሞችን የ ህይወት ክህሎት ለስኬት ማብቃት ።
3_ ከቁርኣንና ከሱና በተገኙ ማስረጃዎች ትክክለኛ የእምነትን እና የፊቂህን ትምህርት ማስፋፋት።
4 _ ሙስሊም ሴቶችን ሃይማኖታቸውን ማስተማርና ግንዛቤያቸውን ማሳደግ
5_ በአፍሪካ ውስጥ በኢንተርኔት ትምህርት ባህልን ማስፋፋት
የ መድረኩ ይዘት
Vipengele vya jukwaa
01
jukwaa
jukwaa ni kuwepo kwa vitabu vya silabasi na vifurushi kwa mpangilio maalumu kwa wanaotakakupata elimu na mahiri.
02
Utofauti
kubadilisha katika kozi na vifurushi kutoka katika fani mbalimbali na elimu tofauti, zinazoendana na khalafu za wanaofaidika na wanaojifunza
03
Kubadilika
Kozi zinatoa fursa kwa kwa washiriki waote katika muda wote wa mwaka.
04
Vyeti
Kutoa vyeti kwa kushiriki kielectronic kwa njia ya PDF moja kwa moja baada ya kumaliza kozi au kifurushi na kuchagua mtihani unaoweza kuufaulu kupitia website